hii ni serikali ya nani?

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Hivi wadau, hii serikali ni ya nani? Ni serikali ya rais (kwa sasa JK) au ni serikali ya watanzania?

Maana kuna speech moja rais anajitetea kuhusu kupitisha barabara kwenye hifadhi ya taifa na anasema serikali yake haijawahi kutaka kupitisha barabara katikati ya hifadhi ya taifa.

Je ni sawa kwa rais kuirefer serikali kama "my government" au "serikali yangu", au inabidi iwe "serikali ya tanzania" au "serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania"

Mi nahisi viongozi wakianza kuiita serikali ni serikali yao, inaweza kuleta maana kuwa wana haki ya kufanya maamuzi binafsi (kosa) badala ya kufanya maamuzi kwa niaba ya watanzania wote (sahihi)

naomba kuwasilisha
 
Serikali hii ni ya mkwere na mafisadi wenzake kwani kajiweka madarakani kw akuchakachua kura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom