ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Poleni na majukumu ndugu zangu,.naomba kuuliza jamani naombeni msaada wenu wa mawazo;
Hivi mwanaume akiwa na mpenzi wake, ambaye anampenda na wameshafika mbali kama kuchumbiana na kushirikishana kwenye mambo mbalimbali yanayowahusu,je ni sawa kwa huyo mwanaume kumhudumia huyo mpenzi wake kwenye mambo kama, kulipa kodi mbalimbali kama nyumba,kusaidia ndugu za mpenzi wake huyo,kumhudumia huyo mpenzi wake kuanzia chakula mavazi n.k, na mambo menginemengine tu.? na wakati bado hawajafunga ndoa? au bado hata hawajapelekana kwa wazazi? inawezekana kweli huyo mpenzi akawa kimaisha hajakaa vizuri bado labda ndo anatafuta lakini mi napenda kujua jamani ni haki ya mwanaume kumfanyia mpenzi wake hivyo? na vice-versa jamani nisiwe biased.. ahsanten