Hii ni pipi gani?

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,860
Reaction score
1,476
Mwalimu alikuwa akiwajaribu wanafunzi wake kwa kuwawekea pipi mdomoni bila wao kuiona ili waseme zina radha gani, alianza na pipi ya chokoleti, akamuwekea mtoto mdomoni halafu akamuuliza "inaradha gani?" mtoto akajibu "sijui" mwalimu akasema "nitakusaidia kuelezea kidogo labda utaweza" ni ile kitu baba yako anapenda kumuomba mama yako mara kwa mara, mtoto dawati la pili akasikika akisema "usile, iteme ni k*ma hiyo"
 
hamna walimu wa kuwafundisha watoto mambo hayo....khaaa.
 
Hii balaa mkuu!
Huyu mwalimu alikuwa wa jinsia gani?
 
mtoa mada ametunga jokes isiyo na maana napita tuuuuuuuu jamani mniwie radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…