Hii ni noma

Hii ni noma

Saplaiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
283
Reaction score
287
UTANI wakati mwingine MAJANGA: angali athari za utan, jamaa Alikuwa amekaa BAR: Akiitazama Bia yake Kwa Zaidi Ya DAKIKA 20, Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua BIA Akanywa Yote! Jamaa Akaanza Kulia, Mtani Akamwambia Usilie Nilikuwa
Nakutania Tu Nitakulipa. Jamaa Akajibu Hilo Sio Tatizo Ila Leo ni mikosi tu! Asubuhi Kazi
Nimefukuzwa, Baada Ya Kutoka Nje nikakuta Gari Yangu Imeibiwa, Kufika Nyumbani Kwangu Nakuta
Ujumbe Mke Wangu Kaondoka Hanitaki, Nimekuja BAR na kutia Sumu Kwenye BIA Ili Nijiue Ww Umekunywa! Mtani: Puu Chini, Mara Stroke Miguu, Mkono Na Mdomo upande kwa Woga Wakufa: KUMBE JAMAA hakutia SUMU Naye Alikuwa ANATANIA tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom