Hii ni ndoa maslahi

Vijana wamekaa kimaslahi zaidi, wakati vibibi vinataka mshobozi tu. Kila mtu anapata analolitaka, mi sioni tatizo hapo. Sema vibibi vizee adhabu, na maisha yenyewe yalivyo mafupi hivi.
 
hivi hapo assume huyo kijana anamfnyia mambo yafuatayo
1.Anazama chumvini
2.Anakula matte
3.anamkunja staili tata

ni hatari sana kwa afya na saikolojia

We masai dada, unajua imesababisha mwili wangu usisimkwe!
 
Ama kweli una lala masikini na una amka tajiri mi hiyo naona ni bahati ya mtende
 
Najaribu kuwaza ile staili yetu,bibi anaweza akaimudu kweli? haiwezekani watuachie na sisi tufaidi
 
hivi hapo assume huyo kijana anamfnyia mambo yafuatayo
1.Anazama chumvini
2.Anakula matte
3.anamkunja staili tata

ni hatari sana kwa afya na saikolojia

Naona aibu mimi :hail::hail::hail:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…