Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
Michoro inamruhusu huko mbele mwachie mwenyewe
Yah! dereva hafai,ila mtei wako vizuri sana kwenye speed,manyara,singida,arusha,dar dodoma,huwa nawakubali sana,wanaaminikaHii kampuni ifukuze huyu Dereva.
Uzembe kama huh afu tunasingizia kafara!!kafara au uendeshaj wa magar kwa hisani ya viroba na marijuana??
hahahaha si ndo kafara zenyewe hizo..
Dereva anaondolewa ufahamu labda..
Hii kampuni ifukuze huyu Dereva.
Hamna tusijaribu kuukwepa ukweli...ajal nyingi zinasababishwa na uzembe wa hali ya juu wa madereva kukosa umakini barabarani!!