Hii ni Maalum for 'JF Mobilers Only'!

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
Habari za wikendi waungwana ?

Ebu naombeni your very 'sincere opinions' ...

Hivi huwa unajisikiaje kwa zile rangi nne (4) unazokutana nazo pale juu kabisa kwenye JF HOME Screen pindi u'Logipo-In through 'JF Mobile Mode' ?

Bila shaka wengineo tunajisikia faraja, au na wengine tunakerekwa, alimuradi tu Rangi tofauti huleteleza hisia mbalimbali tofauti, and we got nothing to do about it, haha!

Haya kazi kwenu waungwana,

jukwaa limefunguliwa .... !
 
Katika website zilizopangiliwa rangi JF ni mojawapo.....
Big u kwa wahusika.....imetulia sana
 
mwanzo zilikuwa zimefifia sasa zimekolea mi nachohitaji sio rangi wangetuwekea ka like na sie wa mobile users..
 
Hizi rangi ukiziangalia kwa jicho la tatu utafahamu JF ni ya watu wenye mrengo gani kisiasa!
 
Back
Top Bottom