Hii ni maajabu.

Unashtakiwa kwa kosa la kuiba ng'ombe mwishowe unafungwa kwa kosa la kuendesha gari ukiwa umelewa. Wakati huo Jaji yupo comfortable kukusomea kifungo.
Hii ni maajabu kweli kweli.
vibwengo katika sheria wakikutana bana ni mwendo wa kupotoshana na kujazana maujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…