Hata kama sijasoma kuhusu sheria, ila kumtongoza mtu aliyevuka miaka 18 na sio mwanafunzi haiwezi kuwa jinai..Kumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?!
Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sherua za nchi yetu mtu mzima kutongozwa mtongozaji anakywa amevunja sheria kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria?
nasema hii ni maajabu...
Tufanye na aliowahi kuwatongoza nao waende kumshitaki.. yani polisi wanatumika tu bila hata kuhoji..Inshu ndogo tu ilikua ni kum block kwishaaaa
Viongozi wa CCM hawana akiliKumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?!
Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sherua za nchi yetu mtu mzima kutongozwa mtongozaji anakywa amevunja sheria kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria?
nasema hii ni maajabu...
Hizi kesi zingekuwa zinafanywa na wanawake kungekuwa na kesi ngapi mahakamani, hapa tupu Pm nimepata mitongozo zaidi ya 100, ningekuwa na kesi za kutosha, kama angekuwa hajamuelewa angemuita sehemu amuelekeze , hili ni jambo binafsi sana kwa watu wazimaHatoshi kuwa mkuu wa mkoa kama bado ana michezo ya kidato cha nne ...
Hakika, je na yeye aliowahi kuwatongoza wakiamua kumpeleka mahakamani!!Hizi kesi zingekuwa zinafanywa na wanawake kungekuwa na kesi ngapi mahakamani, hapa tupu Pm nimepata mitongozo zaidi ya 100, ningekuwa na kesi za kutosha, kama angekuwa hajamuelewa angemuita sehemu amuelekeze , hili ni jambo binafsi sana kwa watu wazima
Labda angesema alikua njiani kutapeliwa pesa ila jambo la mtu kuonyesha hisia zake sio vibaya, tunatengeneza matatizo makubwa mbeleni wataumia wengi mfano, watu wanaogopa kuwatongiza askari polisi, wanajeshi nk, Kwa kuhisi ni kosaTufanye na aliowahi kuwatongoza nao waende kumshitaki.. yani polisi wanatumika tu bila hata kuhoji..
Kumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?!
Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sherua za nchi yetu mtu mzima kutongozwa mtongozaji anakywa amevunja sheria kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria?
nasema hii ni maajabu...
Alafu kuna mengi ya kufanya kama mkuu wa mkoa, inamaana mkoa wake hauna mambo ya kutatua mpaka anaamua kuja na hii kiki ya form 4.. anataka kumuaminisha nani uaminifu wake!! Au mkewe??Labda angesema alikua njiani kutapeliwa pesa ila jambo la mtu kuonyesha hisia zake sio vibaya, tunatengeneza matatizo makubwa mbeleni wataumia wengi mfano, watu wanaogopa kuwatongiza askari polisi, wanajeshi nk, Kwa kuhisi ni kosa
Unapendwa kudinywa mzeeKumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?!
Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sherua za nchi yetu mtu mzima kutongozwa mtongozaji anakywa amevunja sheria kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria?
nasema hii ni maajabu...
Hawa wa hospitali wanatuangusha kwakweli😄Na kutongozwa itakua sasa iwe ngoma droo,
Tunaposema wanaume waliisha kibongobongo muwe mnatuelewa jamani! Bora warudishage jando la miaka ya nineteen kweusi kule
InashangazaAlafu kuna mengi ya kufanya kamaInashana mkuu wa mkoa, inamaana mkoa wake hauna mambo ya kutatua mpaka anaamua kuja na hii kiki ya form 4.. anataka kumuaminisha nani uaminifu wake!! Au mkewe??
Kama mke kampiga mikwara je 😂😂Inshu ndogo tu ilikua ni kum block kwishaaaa