Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Is dhisi MZABZAB I KNOW...au kuna mtu ame HACK account yake????nyie watoto wapuuzi kweli kweli...yaani kumkomoa demu kumpiga mimba? wajikomoa mwenyewe hapo maana umejipa majuku ya kulea mtoto...sasa sii ujinga huo.
Is dhisi MZABZAB I KNOW...au kuna mtu ame HACK account yake????
Excuse me!zuzu hili.
You and I are totally parallel my son.si ulitaka ujiko.
kwahiyo dawa ni tigo siyo?
Cutting off the nose to spite the face. Kwanini jamaa hakuweza kumtupilia mbali atulie na huyu aliyenae sasahivi? Yaani mwanamke anakuonesha kabisa kuwa hakujali wala kukuheshimu halafu unaenda kumtwanga mimba eti kumkomoa. Unajikomoa mwenyewe! Yaani huyu ndo unataka umgeuze kuwa housewife/baby mama? Na mpaka ikafika anataka kutoa hiyo mimba kweli huyo mtoto atakuwa salama akizaliwa? Chezea wanawake wa namna hiyo. Ukikuta kakuachia mtoto getini shukuru mungu. Wengine wanaweza kuamua kuua kabisa kukukomoa. I promise you mchezo bado haujaisha. She will have the final word. Jiandae kuwa na presha, mzee.
zuzu hili.
mkiwa wakubwa mtajua lakini sasa bado hamjajua
hahaha ndio mie mzee wa migegedo...hahahaha
Yaani naona ameona umeongea point ambayo hujawahi ndo maana kashangaa.
zuzu hili.
Jamaa yangu ana demu wake anampenda sana,pia ana wivu mbaya,kademu baada ya kulijua hilo kakawa kanamletea pozi sana mara kamwambie waachane,mara jamaa asijisumbue kwenda kujitambulisha ukweni,mara kambanie uroda,mara kazime simu wiki nzima,mara kasipokee simu basi tu ilimradi kamrushe roho kamanda,Jamaa mmoja akamshauri kamanda kwamba huyo dawa yake mjaze ujauzito atanyooka,dah kamanda akaanza kukomaa bwana at ze end demu kitu kimo mpaka sasa kina miezi minne,kalienda itoa ikashindikana,huwezi amini kidemu sasa adabu juu kanamganda kamanda aende jitambulisha,kanatishia kunywa sumu kama kamanda akikaacha na kanataka hamia kwa kamanda maana kanakaa kwao,na kwao mambo safi bt kamanda ni graduate anapiga biashara tu,wadau mnasemaje?