nyie watoto wapuuzi kweli kweli...yaani kumkomoa demu kumpiga mimba? wajikomoa mwenyewe hapo maana umejipa majuku ya kulea mtoto...sasa sii ujinga huo.
nyie watoto wapuuzi kweli kweli...yaani kumkomoa demu kumpiga mimba? wajikomoa mwenyewe hapo maana umejipa majuku ya kulea mtoto...sasa sii ujinga huo.
we ndo lijingajinga,kupata mtoto hata kama ni kwa kumkomoa mtu ni neema tu,wangapi wanatafuta watoto miaka zaidi ya kumi,kuna ndugu yangu kaacha wake wawili tena wa ndoa kisa anataka mtoto kwani anazeeka zen we unasema ujinga? Jamaa yuko fiti na ana mji wake pia anatunza na kusomesha wadogo zake sembuse mwanae? We kweli jingajinga.
this is where u go wrong wewe...kuwa na kazi na sehemu yako dnt make u fit to be a father. being a father is abt sacrifices abt u being third inline kwa kila kitu. alafu kumake matters worse hapa huyo demu hakuitaka hiyo mimba sasa unadhani she will give her all to the child? child shuld be concieved becoz mnapendana na mmepanga wote wawili sio eti ili umkomoe.
unataka kumkomoa demu anayekuzingua chapa alafu sepa zako...ikiwezekana muombe na tigo kabisa wakati unamgegeda kwa mara ya mwisho
mmh tigo? We uwenda ni ndugu yake na shetani kati ya tigo na mtoto kipi bora?
we ndo lijingajinga,kupata mtoto hata kama ni kwa kumkomoa mtu ni neema tu,wangapi wanatafuta watoto miaka zaidi ya kumi,kuna ndugu yangu kaacha wake wawili tena wa ndoa kisa anataka mtoto kwani anazeeka zen we unasema ujinga? Jamaa yuko fiti na ana mji wake pia anatunza na kusomesha wadogo zake sembuse mwanae? We kweli jingajinga.
Huyo binti anampenda jamaa kwa dhati au ni sababu ya hiyo mimba tu?
Jamaa yangu ana demu wake anampenda sana,pia ana wivu mbaya,kademu baada ya kulijua hilo kakawa kanamletea pozi sana mara kamwambie waachane,mara jamaa asijisumbue kwenda kujitambulisha ukweni,mara kambanie uroda,mara kazime simu wiki nzima,mara kasipokee simu basi tu ilimradi kamrushe roho kamanda,Jamaa mmoja akamshauri kamanda kwamba huyo dawa yake mjaze ujauzito atanyooka,dah kamanda akaanza kukomaa bwana at ze end demu kitu kimo mpaka sasa kina miezi minne,kalienda itoa ikashindikana,huwezi amini kidemu sasa adabu juu kanamganda kamanda aende jitambulisha,kanatishia kunywa sumu kama kamanda akikaacha na kanataka hamia kwa kamanda maana kanakaa kwao,na kwao mambo safi bt kamanda ni graduate anapiga biashara tu,wadau mnasemaje?
Hiyo ndiyo dawa hata msemeje.