Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 909
Eti wanasema ukitaka kukonda bila 'kufanya mazoezi' mpende asiyekupenda.
Hili lina ukweli wowote?
Hili lina ukweli wowote?
hahahaEti wanasema ukitaka kukonda bila 'kufanya mazoezi' mpende asiyekupenda.
Hili lina ukweli wowote?
Mie mbona sikondi jamani kunadem nakapendaga kweri umu jf nimtaje sijuiHahahaha hii inawahusu wale wanaopenda pasipopendeka
mtajeeeeeMie mbona sikondi jamani kunadem nakapendaga kweri umu jf nimtaje sijui