mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Labda ndo maana kiongozi wao akawaita mambumbumbu........ tena walimtimua akiwa na wiki moja tu tangu asaini mkataba mpya wa mwaka mmoja. Hawa jamaa huwa hawakumbuki ya nyuma, akili zao ni nyembambali hazijajua methali!