hii ni kwale wanasaikolojia wenzangu tu

hii ni kwale wanasaikolojia wenzangu tu

El nino jr

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
66
Reaction score
24
```=KISAIKOLOJIA =
...Ukimfumania mpenzi wako yupo na mtu mwingine wana FANYA MAPENZI, ...USIKURUPUKE ...Kaa pembeni uangalie vizuri ili ujue UNAKOSEA wapi kwake UJIREKEBISHE sio kuachana nae..... Au mnasemaje WANASAIKOLOJIA wenzangu...```?
 
54eabf08beafa639a2a4c8b8769976e2.jpg
nmewah sit
 
Sijui hata nisemaje mwana saikolojia mwenzangu

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi mwenye Mali akifumania ye ndo anauliwa...
Sasa we mwanasaikolojia kaa pembeni, tukuimbie parapanda!
 
Huu uzi unawafaa wahenga!

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Mm ni mvumilive, na ninasamehe sana ila sina ubavu wa kuhimili hili.
Nikishuhudia kwa hicho mangu.namwambia baba raha nipe mwenyewe endelea na huyo. mm ndo basi tena. Na mm "akishuhudia" mamsariti aniache.maana naamini mapenzi ni kuheshimiana sasa mtu awake ujinga wake wazi kuna haja ya kuishi nae??
 
Back
Top Bottom