N night mare Member Aug 17, 2019 5 3 Aug 22, 2019 #1 eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????!
Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Aug 20, 2018 870 770 Aug 22, 2019 #2 utapata mtoto, kula sungura pori na supu ya konokono
Atkinson JF-Expert Member Jan 17, 2018 516 1,159 Aug 22, 2019 #3 night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand... we utakuwa umepatikanaje sasa?
night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand... we utakuwa umepatikanaje sasa?
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 28,493 45,835 Aug 22, 2019 #4 Kuna maswali mengine mpaka najishangaa kwanini nimesoma Au hukumaanisha ulichoandika?
Mbabe hunter JF-Expert Member Jul 15, 2016 327 474 Aug 22, 2019 #5 Wewe ni mtoto wa wazaz ambao hawajawahi kupata mtoto, ok we mdudu vp night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand...
Wewe ni mtoto wa wazaz ambao hawajawahi kupata mtoto, ok we mdudu vp night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand...
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,559 142,336 Aug 22, 2019 #6 Ndiyo wewe utapata mtoto bila shida, sababu wewe siyo mtoto wao... Wao hawana huwezo wa kupata mtoto... hawajakuzaa wewe... Cc: mahondaw
Ndiyo wewe utapata mtoto bila shida, sababu wewe siyo mtoto wao... Wao hawana huwezo wa kupata mtoto... hawajakuzaa wewe... Cc: mahondaw
S Saidi gawa New Member Aug 21, 2019 2 1 Aug 23, 2019 #7 Wewe walikupata Vipi? night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand...
Wewe walikupata Vipi? night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand...
kofuli JF-Expert Member Feb 9, 2019 505 568 Aug 23, 2019 #8 kama wewe ni mtoto wa jirani ya wazazi wako tegemea kupata watoto kwa jirani yako hiyo ni kwa mujibu wa biology GENETIC sikumbuki ni form 3 au 4 night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand...
kama wewe ni mtoto wa jirani ya wazazi wako tegemea kupata watoto kwa jirani yako hiyo ni kwa mujibu wa biology GENETIC sikumbuki ni form 3 au 4 night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand...
D Dragon eyes Member Dec 31, 2019 15 2 Dec 31, 2019 #9 night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand... Inabidi utafune msugusugu na mlimbombo alafu na kucha za nyoka pamoja na jasho la bundi unaweza kupata
night mare said: eti kama wazazi wako hawajawahi kupata mtoto na wewe unaweza ukakosa msaada wenu tafadhali????! Click to expand... Inabidi utafune msugusugu na mlimbombo alafu na kucha za nyoka pamoja na jasho la bundi unaweza kupata