Hii ni kwa wapenda mayai wote

Hii ni kwa wapenda mayai wote

Chopra1235

Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
14
Reaction score
18
Nauza mayai.....jumla kuanzaia trey kumi nakuletea ulipo kwa hapa dar es salaam.

Mayai yapo ya kutosha............

Kama unahitaji


Waweza nitumia nitumia inbox na outbox

Karibuni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti tray 10,000/ kwani ni imported from Germany au haya ya kitunda.
Brother study the market. Study the forces of demand and supply before you come up with an imaginary price.
If your production cost is very high, that is your funeral.
 
Amesema mayai yake ni ya kiwango cha kimataifa. Hizo bei ulizotaja wewe ni bei za yale mayai ya kiwango cha kitaifa.
Mayai yamehusika sana katika kupoteza nguvu za kiume kwa wanaume wa Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom