Hii ni kwa wapenda mayai wote

Hii ni kwa wapenda mayai wote

Subiri sana ushahidi wa kisayansi huku kitu kinasinyaa.
Mayai yana vitamin b6,b5 maalum kwa kubalance hormone plus protein nyingi zenye faida kubwa kwa mwanaume kuboresha mbegu hizo ni stori za mtaani tu mkuu, jaribu kusoma eggs and male sexuality, hakuna hata uhusiano wa mayai yawe ya kisasa ama kienyeji kuathiri nguvu za kiume ila mayai yapo kwenye top 10 foods ambazo mwanaume unatakiwa kula ili uzidi kuwa bora kwenye game japo too much is harmful.
 
Back
Top Bottom