HII NI KWA WANAUME WOTE, SOMA HIYO

HII NI KWA WANAUME WOTE, SOMA HIYO

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
1. Mwanamke akikupenda tambua ni vile tu ameamua kukupenda, usianze kujisifu kuwa una mistari mizuri ndio maana ameingia box. Mwanamke kama hakupendi hata uende na maneno ya dhahabu hawezi kukupenda.

2. Demu akikupa penzi ni vile tu yeye ametaka, sio uanze kutangaza mtaani kuwa unajua sana kuomba.

3. Hii tabia ya kumuharibia demu jina kuwa ni mtaro ife. Huenda wewe unayo ndogo kiasi cha kushindwa kutosha.

4. Usiwe mwanaume mjinga kazi yako kuwaambia wanawake wengine vile mwanamke wako hukusumbua.

5. Demu wako akikuomba pesa, ondoa ujinga wa kuanza kumtangaza kuwa anapenda pesa, wewe toa. By the way hakuna mtu yeyote asiyependa pesa.

Alamsiki!!

FB_IMG_1559304029436.jpeg
FB_IMG_1559232018748.jpeg
 
View attachment 1113236View attachment 1113237
Duh huyo demu picha ya pili kalazwa hospitali gani kesho nimpelekee maji ya machungwa
 
Back
Top Bottom