Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,275
- Thread starter
- #61
Ukiwa na huruma huruma utalia kila siku eeh?Ukishoboka umeliwa alafu pita kushoto
Kuna watu wakitaka kudhoofisha hoja ya mtu wanahisi wakisema hili neno "Tafuta hela kwanza kijana" Kwamba ndio watashindaSasa nani hana hela? Labda wewe ndio nikuambie utafute hela. Ninazo za kutosha na bado naendelea kutafuta.
😅😅😅😅I’m just joking ndo maana nimebold😊
Ni wapuuzi tu huwa nawa ignoreKuna watu wakitaka kudhoofisha hoja ya mtu wanahisi wakisema hili neno "Tafuta hela kwanza kijana" Kwamba ndio watashinda
Huo ni udhaifu mkubwa sana katika kujenga hoja kinzani.
Umemjibu vyema sana!!!
Hiyo avatar ni wewe? Kuwa mkweli itakusaidia.!Aisee
HapanaHiyo avatar ni wewe? Kuwa mkweli itakusaidia.!
Mbona wewe ndo unaonekana una njaa njaa? Umekurupuka kukomenti hiki ulichokomenti? Sio bure. Unavuta bangi? Elimu yako tafadhali...Kama huna hela wanawake watakusalimia wa kazi gani?
Tafuta hela jomba, acha hizo mambo za kipimbi asee.
KabisaUkishoboka umeliwa alafu pita kushoto