Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,275
- Thread starter
- #21
Ni kweli, ila zingatia usije kulia lia baadayeTutafute pesa tu. Hamna namna
Ni kweli, ila zingatia usije kulia lia baadayeTutafute pesa tu. Hamna namna
Hujawajua ke bado, hilo halijalishi. Iwe unaongea nao au huongei naoKweli duniani mazingira yetu tunatofautiana maana kwa upande wangu hili haliwezekani.
Haya mazingira ya kutokuongea na wanawake mpaka waanze kujigonga kukukomoa yanakuwa yanafanyika wapi?
Kazini ts either unatoa maelekezo au unapokea maelekezo mnafanya kazi lazima muongee na unaofanya nao kazi, Nyumbani ni familia labda kidogo kama jirani mkikutana wakati mnaingia makwenu au kuna tukio, Sehemu za starehe na kujipumzisha utakuwa na rafiki au Mke, Sasa saa ngapi na katika mazingira gani unakuwa kwenye hali ya kutokuongea mpaka uonekane una nata kisha utegwe kukomolewa?
Okey. Hata hivyo Kwa umri nilionao hakuna sababu ya kuwajua kama wana mambo mengi hivyo na ndo maana nimeshangaa kidogo. Huyu aliyenipa watoto namjua kwa kiasi kinachohitajika. Nafikiri Inatosha.Hujawajua ke bado, hilo halijalishi. Iwe unaongea nao au huongei nao
Numbisa, hiyo id bhn
Hahahah ndege johnHaina shida wengine kutangaziwa mbovu hatuogopi Cha msingi nimeromba Basi ye atajua mwenyewe me mbele kwa mbele naendelea kula nyama na bia.




upo Tabora mkuu?Vizuri kama umeelewaBasi sawa.
KabisaNi kwel unayoyasema mkuu,mimi nimeshayaona
Sasa nani hana hela? Labda wewe ndio nikuambie utafute hela. Ninazo za kutosha na bado naendelea kutafuta.Kama huna hela wanawake watakusalimia wa kazi gani?
Tafuta hela jomba, acha hizo mambo za kipimbi asee.