Hii ni kwa Wanaume wasiojali

Hii ni kwa Wanaume wasiojali

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,275
Uzima upo?

Niende kwa mada, ukiwa aina ya mwanaume mtanashati, hutaki mazoea, hujali n.k, yaani aina ile ya mwanaume hata mwanamke kusalimiwa na wewe anajisifia na kujiona ana bahati sana.

Sasa nikuambie hii, wanawake wengi watajigonga kwako.

Trust me hawatokuja kwako kwa kuwa wanakupenda kwa dhati, bali watakuja kivita wakiwa na mawazo haya: yeye si anajisikia sana, sasa akinitongoza tu ameisha.

Lengo lao ni kushusha utu wako, kukuharibia future na kukufanya ujione mavi, yaani anakuja kwako ili AKUKOMOE tu na kukuaminisha kuwa wewe sio lolote ni mavi tu.

Wengi wamelizwa sana na trick hii. Usimkubali msichana atakayejigonga kwako mara nyingi hana lengo zuri na wewe, WASICHANA WENGI HAWATAKI KUMUONA MWANAUME AKIWA AMBITIOUS NA ANAJITAMBUA.

Pleaseee nakuomba. Hawakupendi hao wanataka kukukomoa na kukutangazia mbovu.

Utakumbuka hili andiko.!
 
Si tulikubaliana kwenye kile kikao kwamba tunapata utamu Tu kisha tunatema?

IMG_20220317_141940.jpg
 
Uzima upo? Niende kwa mada, ukiwa aina ya mwanaume mtanashati, hutaki mazoea, hujali n.k, yaani aina ile ya mwanaume hata mwanamke kusalimiwa na wewe anajisifia na kujiona ana bahati sana.

Sasa nikuambie hii, wanawake wengi watajigonga kwako.

Trust me hawatokuja kwako kwa kuwa wanakupenda kwa dhati, bali watakuja kivita wakiwa na mawazo haya: yeye si anajisikia sana, sasa akinitongoza tu ameisha.

Lengo lao ni kushusha utu wako, kukuharibia future na kukufanya ujione mavi, yaani anakuja kwako ili AKUKOMOE tu na kukuaminisha kuwa wewe sio lolote ni mavi tu.

Wengi wamelizwa sana na trick hii. Usimkubali msichana atakayejigonga kwako mara nyingi hana lengo zuri na wewe, WASICHANA WENGI HAWATAKI KUMUONA MWANAUME AKIWA AMBITIOUS NA ANAJITAMBUA.

Pleaseee nakuomba. Hawakupendi hao wanataka kukukomoa na kukutangazia mbovu. Utakumbuka hili andiko.!!!!
Hapo kwenye maandishi makubwa ume describe nature ya mwanamke
 
Back
Top Bottom