Hii ni kwa wanandoa tu!!!!!!!!!.

kama amekubali kuolewa analala chupi ya nini? ndio maana unasema lazima uanze kumuomba mpaka umvue saangapi tumia shuka moja kujifunika kama utalipia nauli tena

Inahuuuuuuu?
 
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.

ww unaomba kama unataka msaada kwa mtu, halafu kwani hamjazoeana wakati wa u boyfriend/girlfriend? au mlikutana tuu mkaoana kwa hiyo sasa ndo mnaangaliana tabia?
 
Inawezekana kua mwenzio ana aibu kusema sasa anakujulisha kwa vitendo na wewe hushiki mita,jaribu kumfanya ajisikie huru kwako mwambie asione soo kwenye uwanja wa Hubaa aseme akijisikia akupe ukijisikia mwambia akujulishe japo kwa ishara kama anaona tabu kutamka.
 
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.

Hata mkeo anatakiwa na yeye akuombe, sio wewe tu kumuomba kila siku, biblia inasema mwanamume hana haki juu ya mwili wake bali mkewe vivyo hivyo mwanamke hana haki juu ya mwili wake bali mumewe. Inaonekana wewe umemzoesha kama unaweza kuuchuna kwa siku kadhaa hebu uchune tu usimwambie kitu uone atareact vipi.
 
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, kuombana....................... mi sijui kama kuna kuombana. ikibidi kuomba basi ataomba ambaye amehitaji kwa muda huo, haijalishi ni nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom