Hii ni kwa wana-CHADEMA tu

HIVI chadema ina wanachama walio hai? ci huwa mnagawa bure kadi za chama chenu? mnaogopa kutengeneza wanachama hai kwa sababu mwanachama hai atadai haki zake katika chama kama vile kugombea uongozi pamoja na kuhoji matumizi ya ruzuku kitu ambacho chadema hamtapenda. tuliona jinsi chacha (RIP) alivyojitutumua kuhoji matumizi ya ruzuku pamoja na kutaka kugombea uwenyekiti mwisho wa siku tuliona alipoishia!
 
naunga mikono na miguu!! tena ingetakiwa CDM waanzishe ka mfuko fulani wa kuimarisha chama!! ili watu wenye mapenzi mema na cdm wakiwezeshe ili kiweze kuwafikia watu wa kijijini ili wapate elimu ya uraia.au unaonaje.
 
Naunga mkono hoja 100% mm nimeshaanza kutoa elimu huko vijijini, natembelea mara kwa mara huko. Kifupi Cdm tuwe karibu na walimu mana ndio watu waliokaribu na ambao wapo maeneo yote na wanao aminiwa na jamii. Tuwatumie walimu hawa wanaonyanyaswa na utawala huu wa magamba kwa kunyimwa stahili zao. wasaidie kuelimisha wananavijiji.

Together we can. Vivaaa Chadema.
 
Wazo zuri sana.Ni muhimu kuchangia harakati za mageuzi ili chama kiweze kujitanua zaidi.Ikiwezekana cdm tuwe hata na wawakilishi wa nyumba kumi hasa vijijini ambako ccm wamejijenga.Naunga mkono wazo la WASP lakini isiwe njia pekee.Ni muhimu wanachadema JF tukawa na namna yetu ya kuchangia chama humu humu JF.Pia nashauri ili tuendelee kutoa mawazo mazuri kwenye huu mjadala tuwapuuzie wale wanaotaka kudivert our attention.Tusiwajibu.
 
Ni waqzo zuri wakuu, niko tayari kuchangia chama. Tufungur tawi humu j.f alafu tuwasilishe michango yetu kwa pass code itakayotolewa na chadema.

By. Mwalimu sam..... Ole wao mwaka 2015 wanipamgie kituo cha kusimamia zoezi la upigaji kura......................
 
naunga mkono hoja,tujipange kazi ishakua laisi huyu mwl wetu aendelee kuelimisha.na tumuwezeshe kwa kidogo tulichonacho kwa kutuma sms yenye neno CHADEMA..
 
Nakumbuka kuna kipindi Mh Zitto alisema hapa JF (enzi hizo mimi ni guest humu JF) hatagombea ubunge ili aigie vijijni kufungua matawi nchi nzima na kuhamasisha wananchi kuhusu zao na mambo wanayodsnganywa, sijui aliishia wapi na huu mpango (simaanishi kafanya vibaya kugombe na kupata ubunge) ni vema ikafanywa kama alivosema muanzisha hoja, naunga mkono hoja!
 

100% imepita hiyo
 

ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
dah!! wazo zuri, mm ningechangia trilion 3 lakini naogopa Mbowe asizifyeke kwenye miradi yake ya mafuso mabovu!!!!!!!!!

we nani kakuluhusu kuingia humu ukiwa tilalila umelewa Gongo la mihogo...
 
viongozi wa cdm ni wa sikivu sana naimani haitakuwa mwisho bali utakuwa mwanzo wa mapambano,kwangu huo ni ushindi mkubwa kwa cdm ,tuhamasishane tujiandikishe tupige kura tufanye mageuzi
itakuwa kosa la jinai kwenda Igunda 2015 Igunga has to remain active area to win in 2015. CCM tumewaazima. Wakati wa kuboresh daftari lazima timu ya ya vijana ya chadema iende Igunga. Pia nashauri ifunguliwe akaunt ya Chama Igunga ili mwalimu afanye kazi hiyo. Wale wanaojitolea kuacha kazi lazima wapewe nafsi ili wengine wasisiite kutuunga mkono tu bali hata kujitoa mhanga kama mwalimu alivyofanya.
 
Njko tayari hata kutoa percent ya mshahara wangu kukatwa kila mwezi kwa ajili ya kuchangia Kampeni ya CDM Kuenea vijijini.Kama ninavyokatwa kodi,na mchango wa CDM hivohivo
 
Hivi kwanini tusifungue tawi hapa kwenye jf?

Tena tuanzishe na michango ya kuchangia chama,iwe kwa M PESA,TIGO PESA,ZAP pamoja na kufungua ACC ya chama ili kuwawezesha makamanda,watakao kwenda vijijini kutoa elimu JAMANI TUNAWEZA NA HAKUNA PINGAMIZI LA KUMTOA MKOLONI MWEUSI, PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEESSSSSSSSSSSSSSS..................................................
 

****** ya mama yako wewe nani kakuruhusu kuingia humu?Usituharibie mipango yetu ondoka sasa hivi.
 

Mkuu hapo umesema kitu cha maana, huyu mwalimu anakubalika, ukiangalia alivyoshambuliwa na watu wote wa ccm serikali bakwata nk na bado akatoka na kura nyingi kiasi imekuwa tishio kwa ccm. Huyu mwalimu cdm wamtumie vizuri alilinde jimbo la Igunga.
 
Nimefurahi watu tuna michango mingi mizuri sana,mie nimeupenda zaidi kutoa elimu ya uraia pamoja na kuwa na network vijijini kama nyumba kumi vile naamini hilo likiwezekana ccm itakuwa msiba mzito.Pia ni vizuri nasi tukajiandikisha uanachama na kutoa ushirikiano wetu sambamba na mikakati tuliyoimwaga hapa yasijekuishia maneno tu,vitendo ni lazima.Pongezi kwa viongozi wa cdm na wananchi waliotuunga mkono huko Igunga...mwanga wa mafaniko unaonekana sasa.
 
  • mipango yote ni bora iambatane na vitendo itasaidia sana pia huu uzi ukae agalau week moja first pg wengine wauone nadhani wataunga mkono hoja
  • tatizo ni nani atakaye kuwa msimamizi mwadilifu, anaye aminika NA kukuballika na CHADEMA JAMII FORUMS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…