Hii ni kwa wana CCM tu


Nahamu kubwa sana hapo kwenye RED Malaria Sugu aone!
 
Ww huwezi kuwa mwana ccm hata siku moja , waonekana kama vile unawatumikia ma bwana 2

Kweli kabisa maana asili ya mwana ccm lazima awe anakubaliana na kila jambo hata la kipuuzi linalofanywa na serikali yake. Umenena sawa kabisa...Pongezi mkuu😛oa😛oa
 
Mlangaja hii ipo kikampeni zaidi muulize jamaa yangu mmoja yupo hapo Dom anaitwa Robert Mwinje ushauri huu unamfaa zaidi kwani aliatempt kugombea ubunge hapo mjini akakuta kuna wana ccm wenzake 40 akachomoa jina lake. CCM kwishney kaka wewe unaongelea barabara wakati kuna maelefu ya Wa TZ wanakufa dakika hii ninapopost hii thread kwa kukosa matibabu sababu mgomo wa madaktari.
 
...wanaccm wenzangu....Kuna mambo mengi sana ya kipuuzi ......Hivi hata viongozi wa chama mnapopita na kuona ugoigoi ....Huu ni ugoigoi.....

Kumbe nyie na serikali yenu ni wapuuzi na magoigoi?
 
Akitoa ushauri basi anapoteza uhalali wa kuwa mwana CCM?????????? Mbona Prof Bana hujamtoa UCCM alivyo toa tathimini ya kuisha kwa CCM????????Brain Zero mwizi mkubwa wa maghamba!!!!!!!!!

Posa yangu yakukuoa umeisha ijibu ?

 

Na bado nataka mshindwe kabisa kama mnavyoendelea kushindwa mambo mengi kwa sababu mliwekwa na tume ya uchaguzi siyo watanzania namini Mungu atatulipa CDM kwa hujuma mliyo tufanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…