monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 887
- 1,596
Habari zenu wanajamiiforumz wenzangu, natumaini hamjambo
Napenda kuwafahamisha juu ya Dictionary za kutumia kwa kudownload play store.
1.Merriam-webster,
Hii ni English to English Dictionary(kamusi wahidiya) na pia ni offline dictionary ambayo haiitaji internet na pia ni dictionary iliyojitoshereza maneno na ni rahisi kuitumia tofauti na Oxford ambayo ni online.
2.Google Translate,
Hii ni Dictionary inayotafsili zaidi ya lugha moja (kamusi mahuluti) namaanisha swahili to english/french/arabic etc. Isipokua hii ni online dictionary nayo ni rahisi kutunia kwa wapenzi wa kujifunza lugha tofauti.
Zote zinapatikana Play store jaribu kuzitumia naamini utafurahi kama nilivyofurahi mimi.
JUMAA KAREM