Hii ni kwa wale wanaotoka familia duni

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
FB_IMG_14908156934001620.jpeg
 

Mbona kama vile umeonyesha Kiwango cha hali ya juu cha dharau kwa Wachuuzi au Wakulima na pia umewadhalilisha Wanawake kuwa wao hata kama wakifeli masomoni bado wataokotwa tu na Wanaume wenye uwezo na kuolewa? Tunahitaji kuombwa radhi kwa haya matusi yako ya reja reja yaliyopata ushirikiano wa Kiushahidi wa hizo picha zako hapo tafadhali.
 
Nakuunga mkono walodhalilishwa hpo ni wakulima na wachuuzi ila kwa wanawake huo ndio ukweli hyo ndio option yao ya mwisho yanatokea sana hku mitaani na hata wazazi huwa wanatuambia watoto wa kiume"kazana kusoma usimuige flan mwenzio ataolewa ww je? so imewajenga hvyo kwamba hata nikifeli ntaolewa!
 
Back
Top Bottom