asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
ha ha asakuta same wapi dogo mizinguo hadi anakuja kuweka tangazo
eti mirinda tamu umepata pm hata moja?
ha ha ha mbona umechagua wote wenye M´s,unajua charminglady amechumbiwa...
Nisamehe bure shost kumbe umeshaolewa?Mie sijachumbiwa bana... mbona unanidogosha ??? Mie ni Mrs. @C6....
Nisamehe bure shost kumbe umeshaolewa?
aaa wapi nani apelekwe kwa mama ntilie na maji yale ya mnazi mmoja ya kuchuja na chujio la chai.
Awatafute hao hao wenye gharama saluni 500