Hii ni kwa Chadema

Read between the lines. Najua sana wanashirikishwa. Nachokipendekeza hapa ni zaidi ya hapo. Wananchi wawe ndio watoa hotuba. Viongozi wasikilizaji. Sio swala la kutoa kero tu bali pia wapendekeze namna nchi tunaweza kuikomboa kutoka kwa CCMabwepande. Wananchi hawana kero tu, wanayo pias mawazo ya kusaidia revolution ya kweli.
anyway we do defer in perspectives, unasema wanashilikishwa... mkuu naona unataka iwe from botom to the roof, idea ya M4C imeanzishwa na watu wa kawaida na si viongozi, namna ya kuondoa hii kansa CCM,
viongoz wanatumia njia mbalimbali kupokea public opinions, JF mojawapo Mkuu pamoja!
 
Naam. Pamoja sana.
 
Kukiwa na chuki binafsi miongoni mwa wananchi na wakaamua kutoleana uvivu kwenye mikutano ya wanasiasa poa au siyo?
Hizo zitakuwa siasa au majungu au tutaziitaje? Sijawahi kuona mfano wa aina hiyo popote pale duniani.

Hapo sasa za Mbayuwayu unachanganya na za kwako. Usiamini kila unachokisikia.

Kama ni issue genuine kweli utasikia malalamiko kwa watu wengi.
 
Back
Top Bottom