Hii ni kwa ajili yako mwanamke

Hii ni kwa ajili yako mwanamke

Mi nilipata mkaka ana kila kitu mwanamke anachotaka, dushe ya kuua mtu, hela za kutosha, mtanashati, elimu nzuri n.k ila alikua mkimya mpaka anaboa... Alafu ana aibu kishenzi! Kidogo tu kashajifunika, adi kulala alikua analala na boxer. Siku alijifunika shuka nikataka kumfunua nusura nile vibao...
Labda alikuwa na mkia kwa nyuma hakutaka uuone
 
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart...[emoji173][emoji173], na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
Mkuu mtoa mada upo sawa kabisa

Namba tano inanihusu.
 
Back
Top Bottom