Nikifungua habari JF kusoma nakutana na huu mtangazo unaziba screen yote. Sasa hii ni kero lwa sababu ukifungua msg linakuja hilo litangazo na ukifunga vivyo hivyo...litoeni au tafuten namna nzuri ya kulitangaza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.