BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 52
mwanamke anasamehe kweli, i know coz i played the game.dont hate the player hate the game

Unategwa hapo.Ilinitokeaga mimi cku nilipopanga kukutana naye wakaja wote wote wawili mitaa ya B Bar Cnza wakaniweka mtu kati huku wakiongea kwa sauti maneno ya kashfa.Nilitoka mbio na mpaka leo cjakanyaga tena B Bar though ni miaka 6 sasa imepita.

Nipo mpendwa! Mzima weye? Waelekea wapi na giza lote hili Husni?.. Naomba nikufuate jaman!

Sasa mkuu mwaka mzima kashamegwa na wangapi mkuu?

Na kama aliweza kukaa mwaka mzima bila kukutafuta au kutaka mrudiane je atashindwa vp kukutosa hata kesho!

Au kaona upo safi kifedha amesha plan kuja kufaidi!

Shtuka man kama vp mpotezee usitafute headache bureeee. Wadada wamejaa kibao tafuta mwingine tu