The dream JF-Expert Member May 10, 2015 999 994 Jan 2, 2017 #4 Ngoja waje wapenda juice watuambie, wengine tumezoea vilevi tu. Ingekua ni kirikuu, mwendokasi, fast jet au nyagi ningejua tu hata kama angekua ameweka kwenye kikombe.
Ngoja waje wapenda juice watuambie, wengine tumezoea vilevi tu. Ingekua ni kirikuu, mwendokasi, fast jet au nyagi ningejua tu hata kama angekua ameweka kwenye kikombe.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,992 31,695 Jan 2, 2017 #5 Mjini juice ya dar mikoani haipo
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Jan 2, 2017 #7 Ujue nini!... mpiga picha kajitahidi mno! kutafuta angle... hadi kachuchumaa apapate pazuri pa kupiga picha ya 'juice'!...
Ujue nini!... mpiga picha kajitahidi mno! kutafuta angle... hadi kachuchumaa apapate pazuri pa kupiga picha ya 'juice'!...
kabingo Senior Member Oct 16, 2015 115 118 Jan 2, 2017 #8 Mmmh!!? Ulimanisha tuangalie juice au anayekunywa juice .
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jan 2, 2017 #11 apa ruwa, Yesu na Maria, Kiruuuuuuuu, chaaaaaaaaaa, yetoni, bojo iwe kaziro, yo! mbe! ishi! bebe nang'we! ote, ode,
apa ruwa, Yesu na Maria, Kiruuuuuuuu, chaaaaaaaaaa, yetoni, bojo iwe kaziro, yo! mbe! ishi! bebe nang'we! ote, ode,
Odhiambo cairo JF-Expert Member Jul 11, 2015 15,989 22,057 Jan 2, 2017 #13 SupuyaPweza said: Ujue nini!... mpiga picha kajitahidi mno! kutafuta angle... hadi kachuchumaa apapate pazuri pa kupiga picha ya 'juice'!... Click to expand... Hakuna kitu hapo, yupo sokoni
SupuyaPweza said: Ujue nini!... mpiga picha kajitahidi mno! kutafuta angle... hadi kachuchumaa apapate pazuri pa kupiga picha ya 'juice'!... Click to expand... Hakuna kitu hapo, yupo sokoni
Wild sniper JF-Expert Member Apr 3, 2015 4,354 8,469 Jan 2, 2017 #20 Naachaje kupiga deki hapo kwa mtoto kama huyu akimwaga hiyo juice lakini.