Hii ni hasara

Hii picha yanikumbusha jinsi watu walivyo wazembe na kutokuwa na tahadhari.Wanapenda kusema "hakuna neno bwana, iko sawa."

Iko siku nilimpa kijana wa bodaboda mkungu wa ndizi anipelekee nyumbani.Akauweka kwenye pikipiki bila kufunga na mpira kama ilivyo kawaida. Nilipomwuliza akaniambia kwa mikogo mingi sana, "mama, hii kazi tunaijua, hakuna kitakachoharibika"

Mkungu ulidondoka ukasagikasagika leo hii namdai mkungu wangu.
Hapo kwenye mayai pia kuna tatizo ambalo halikuzingatiwa kwa sababu ya uzembe wa wahusika
 
Subiri atakupa "Mkungu" muda si mrefu.
 
Mkuu kuwa na heshima japo kidogo,unachomaanisha hakiendan na kile alichoandika Naisujak. Kama bandiko hukulipenda ungepita kimya sio kuleta kejeli huo mkungu anaoongelea hauna mabano. Anachodai ni mali yake iliyoharibiwa kwa uzembe
Subiri atakupa "Mkungu" muda si mrefu.
Namsikia sikia hapa mtaani. Huwa anatabia ya kuharibu 'mali' za wanawake ili ukimfuata fuata akuharibu zaidi. Achana naye kabisa.
 
Mkuu kuwa na heshima japo kidogo,unachomaanisha hakiendan na kile alichoandika Naisujak. Kama bandiko hukulipenda ungepita kimya sio kuleta kejeli huo mkungu anaoongelea hauna mabano. Anachodai ni mali yake iliyoharibiwa kwa uzembe
Asante Numbisa. Nimekupendaje yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…