Hii ni haki

Ahahahah..kuna mmoja kashika shavu kabisa kwa huzuni
 
Shame on him.sasa si bora wangezi piga mnada alafu hela zao angewanunulia ata gubiti wajirambe.
 
Vizuri saaana tena hapo kawaonea huruma ingekuwa ni mm ningezichoma KBS puuuumbavuuuuu
 
Ni haki kwa maana sheria ya shule inakataza matumizi ya simu kwa mwanafunzi eneo la shule..Kwa upande wangu sioni cha kujutia hapo kwa maana wanafunzi waliyataka wenyewe.
 
Tena huyo mwalimu ana huruma.Kama angefuata sheria ilivyo,hao wanafunzi wenye hizo simu wangefukuzwa shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…