Kwa staili hii bora niwe mchepuko.
naanza kuchepuka
Umempa fedha ya kutosha huyo mkeo ili akupikie chakula kizuri.?Isije ukawa nyumbani unaacha buku mbili halafu unataka kuku wakati kwa mchepuko unahonga pesa kibao.
Kama bajeti ya wife na mchepuko inafanana una haki ya kulalama lakini kama mchepuko ana package kubwa sana kuliko wife usilalamike.
Maharage ya kuchemsha teh...unappetizing!Sasa kama mwenyewe amenunua maharage kwa mkewe unategemea mimi nipike nini!?hujaniachia hela ya nyanya,hoho,karoti,thomu,wala mafuta ya kupikia hayo maharage ulitegemea mimi nipike vipi??
Safi sana hiyo
Kwa staili hii bora niwe mchepuko.
Naomba nikuchepukie!
Utanilisha vyuku?
Vyakutosha!
Basi sawa njoo tuchepukianeeeee hahahaaa