Inategemea HAKI unaitafsiri vipi. Kwa wengi wetu neno HAKI linamaanisha 'jambo zuri kwa mtu fulani' lkn katika uhalisia wake, haki ya mtu yawezekana kuwa jambo baya kwake. Kwa mfano, huyo bwana mwenye kiroba mabegani yaweza kuwa kutaabika huko ni haki yake baada ya yeye kutumia fedha zake kwa pombe na nyama choma, na huyo mwenzake yeye alikula ugali zilizobaki akanunua toroli na sharubati.
By the way, inachekesha ati