Hakuna tatizo hapo,huyo anakupenda sana,yaani umemchanganya sana na ni pia huyo ni mwanamke mwenye wivu?jenga tabia ya uaminifu kwake, wewe kama story zako ni mademu wa zamani wa home unadhani atafikirije? KWANI? ukienda nae safari kila usafiripo kuna tatizo?mambo ya kupimana mizigo mambo gani tena haya?KWANI?si naweza nikaiba sana tu kisha nikala vyakula vya proteni kwa wingi mzigo ukawa pale pale?.Mzee mwenzangu mambo mengi kwenye mapenzi ni kuvumila tu, wapenzi wetu sio malaika ni binadamu,wanakasoro kibao pamoja na mimi na wewe tuna kasoro UVUMILIVU ndio solution.Jipinde mzee toa kilo znazotakiwa,lakini angalia usijetoa damu.Kama ni Mchumba, anza kumrekebisha mapema asiwe na mtazamo huo.. Akiingia ndani utaona SHUGHULI yake. Wakina Mama wote wako hivyo ila jitahidi aache hizo.
siumwambie tuu wajameni...
Aambiwe nini jamani...? Au nawe unamaanisha kuwa jamaa alipaswa kumwaga manii nyingi kwa kuwa hakufanya kwa muda mrefu? Labda amwambie alikuwa anafanya kazi za mikoni zilizotumia manii hizo, au jamaa amwambie kuwa kamwota jana na hivyo nyingi zimwagika hewani...?
samahani kama nakukwaza,hiyo avatar niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............?mmm huyo amezidi khaaaa....wivu ukizidi ni unaharibu uhusiano mpe live hupendi hiyo tabia khaaa....mbona ankipimo cha zamni huyo kha....
..bht, unajua mambo mengine mtu unajaribu kufikiria kama yana mantiki yoyote katika mahusiano...mi sioni. Hilo la kupima ujazo halikuwepo tulipoanza urafiki wetu karibu miaka 2 iliyopita. Ila sasa hivi naona linachukua sana nafasi tena kwa taarifa yako si ujazo tu wakati mwingine anataka mpka aone mzigo ni mzito kiasi gani usishangae unaulizwa ..mh! mbona za leo nyepesi hivi?? Unajua huwa nabaki kucheka tu.....Sijui kama na nyie wadada wengine hizo nazo ndio zenu!Laligeni kipimo cha uaminifu kwa mzigo unaotoa ndo nasikia leo!!! (nashawishika kukuuliza anapimaje mwenzetu?)
Anyway kama wewe unajiamini huibii nje jaribu tu kumweleza lakini hata hivyo iweje ana note ujazo iwapo tu wewe ulisafiri kwa siku kadhaa?
Maana kama ujazo unakuw apowa ukiwepo then wat happens when u come back from wherever?
..bht, unajua mambo mengine mtu unajaribu kufikiria kama yana mantiki yoyote katika mahusiano...mi sioni. Hilo la kupima ujazo halikuwepo tulipoanza urafiki wetu karibu miaka 2 iliyopita. Ila sasa hivi naona linachukua sana nafasi tena kwa taarifa yako si ujazo tu wakati mwingine anataka mpka aone mzigo ni mzito kiasi gani usishangae unaulizwa ..mh! mbona za leo nyepesi hivi?? Unajua huwa nabaki kucheka tu.....Sijui kama na nyie wadada wengine hizo nazo ndio zenu!
...WOS kwa kweli sasa nimeamini kuwa waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. Hivi hili la ujazo laweza kweli likakupotezea muda mpaka wakati mwingine kusababisha uvunjifu wa amani?? I don't believe this....Sasa na sie tuna kipimo gani cha kujua kama mamaaa hakumegwa kitaa?Hicho kipimo lakini si kina ukweli?
Itabidi u justify kwanini umekwenda chini ya viwango ndugu vinginevyo hapatoshi lol.