Hii ni fashion au ulimbukeni kwa dada zetu?

nyamalagala

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
744
673
Natumai wanajamvi mu wazima,

Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote,sasa najiuliza hivi dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi harusi?

Tafuteni saizi bana na sio zinazotimua vumbi.

Nawasilisha.
 
Natumai wanajamvi mu wazima.Naona kuna mtindo umeenea sana kwa Dada zetu kuvaa magauni marefu.hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejithidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote.sasa najiuliza hivi Dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi arusi? Tafuteni saizi bhana na sio zinazotimua vumbi.
Nawasilisha.
Ukijiuliza akili za wanawake na mambo yao kwenye maisha utapasuka kichwa tu aiseee.

Hata wao sometimes huwa hawajielewei wanajishangaa sana.

Ni swaga tu lakini, zitapia zitaingia nyingine.
 
Wengine wanachomekea kwenye chupi. Ila ndio vizuri na hasa umuone mwenye sifa za Sheikh Kipozeo hadi raha kumuangalia... Ila Vimbau mbau huwa hawapendezi.
 
Natumai wanajamvi mu wazima,

Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote,sasa najiuliza hivi dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi harusi?

Tafuteni saizi bana na sio zinazotimua vumbi.

Nawasilisha.
Weka picha
 
Swaga tuu kaka. Wala usiumie...ila wale wanaovaa gauni jepesi alafu ndan wanakyupi tuu na sidiria wanakera
 
Alafu cha ajabu zaid mkuu utakuta upande wa kushoto au kulia au pande zote kushoto na kulia katka kiuno kuna kama fundo flani wanayapandisha juu hayo magauni kwa kuyachomeka kwenye lastic ya nguo ya ndan iwe ni chupi au skin tight ,,,
 
Natumai wanajamvi mu wazima,

Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote,sasa najiuliza hivi dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi harusi?

Tafuteni saizi bana na sio zinazotimua vumbi.

Nawasilisha.
Wengine huwa wakichoka kushikilia wanachomekea kwenye kyupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom