Hii ni Fasheni Gani ya Upasuaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni Fasheni Gani ya Upasuaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Nov 30, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakuu Wanajamvi,

  Naomba tushee haya mambo yanayonitatanisha!

  Nimeshawasikia wadada kadha wakisema kwamba siku hizi kuzaa kawaida (normal delivery) imepitwa na wakati.

  Dada mmoja ambae mjamzito akadai kuwa yeye akifikia kujifungua atafanya mipango ya kupelekwa theatre kufanyiwa operesheni , akisema kwamba kuzaa normal kunaharibu shepu na kumlegeza mwanamke (sijui ni idara ipi inayolegea)!

  Lakini pia kuna dada mmoja family friend, ambaye ni msomi mzuri sana, ni Medical Doctor wa hapa Mount Meru, ambapo yeye ameamua wanae wote wazaliwe kwa oprtn, na anakuwa amepanga kabisa tarehe za kuwazaa, na anadai anataka birthday za watoto hao ziwe na mtiririko fulani aliouchagua yeye na bwanake!

  Lakini pia anatoa sababu kuwa kuzaa normal kuna risk/possibility kubwa ya kuzaa mtoto tahira kutokana na handling ya wazalishaji!
  Je wnandugu ni kweli kujipangia upasuaji mkubwa huo ni fasheni?
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Upasuaji unaharibu shepu ya tumbo (wengi utaona wana vitambi vimekaa ovyo ovyo hivi) kwa sababu baada ya operation hawezi kufunga tumbo lake kama waliozaa kawaida wanavyofanya.
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Kuzaa kwa operation sio fasheni bali ni mlolongo wa mambo mengi yakiwamo haya yafuatayo
  1- njaa za madaktari na vijihospitali vyao special vya kuhudumia wagonjwa so wanafanya operation ili kuongeza pato lao kutokana na kazi yenyewe kuwa ndogo ila gharama kubwa ikiwamo ya kumlaza mgonjwa baada ya operation( hii kwa dsm inacover 70% za operation zote za uzazi)

  2- maandalizi ya mjamzito kabla ya kujifungua- aina za vyakula wanavyokula wazazi wetu wanapelekea watoto kuwa wakubwa sana na kuzaliwa kwa njia ya kawaida inakuwa issue...then operation (hii ni 20% ya operation zetu za uzazi)

  3- fashion na life styles za ajabu- kina dada wanavijisababu vya kipuuzi ikiwamo ya uke kutanuka, kulegea na ikiwamo michezo yao michafu ya kuliwa tigo/kinyume cha maumbile na ku-tizamia maisha ya wazungu...hii imesababisha kitu kaqma 10% ya operation za uzazi hasa kwa hili daraja la mabinti walioingia vyuoni na kutoka ndio wengi wao..

  HITIMISHO...takwimu nilizotoa ni kwa uchunguzi wangu mwenyewe na zisihusishwe na taasisi yoyote ya kitabibu duniani, sipo tayari kutoa chanzo changu cha takwimu hizi isipokuwa chini ya kiapo cha usiri tosha na maslahi yangu ki-uchumi kuzingatiwa na kulindwa na mikataba ya nchi husika.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hawajui wanachozungumza bali wanafata mkumbo tu.wangewauliza hao daktari wenyewe na wangewasikia kwamba ni vizuri kuzaa njia ya kawaida kama huna tatizo lolote la kiafya au hakuna hatari yoyote kwa mtoto.daktari ambaye atawashauri kuzaa kwa operation kuliko kawaida bila sababu yoyote huyo anaangalia hela tu kwa upande wake kwani analipwa hela nyingi zaidi akiwazalisha dada zetu kwa operation kuliko kawaida.
   
 7. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hii ni kweli kabisa wasichana wanaokuwa wamama siku hizi wanapenda kujifungua kwa upasuaji kwa makusudi.
  Nina mashost zangu watatu wote wamejifungua kwa upasuaji kwa kutaka wenyewe ili njia zao ziwe mnato.
   
 9. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mnato ili ? Kwani waliambiwa wanaume wanahitaji hizo nani hii zao zinatie humo ndani ? Tell them what you believe and know..!!!
   
 10. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukweli,
  Wengi wanafanyiwa kwa sababu za kitabibu 60%
  Waliobakia wanafanyiwa ama kwa kupenda wenyewe kulingana na upeo wa akili zao,kwa kiburi cha pesa zao kwani garama za jumla za c / i ni kati ya TZS 200,000(kwa dili) -1000000 AMA kwa kuwa (conviced by dr)
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pretty,

  Uhave said it all!

  Sa kipi bora, kuwa na nanihino mnato au kuwa na bonge la scar kwenye tumbo, ambalo linaleta discomfort hata kwa huyo jamaa unaemmegea mnato?

  Lakini pia hawaoni kwamba oprtn inakuw na maumivu ya kudumu maishani, hasa wakati wa baridi?
   
Loading...