Hii ni DHARAU!!!

mkuu bongo ndo imezidi si bora hawa
 
Huyu nae anpokea mshara wa nini anazalisha nini kucheza game na mitanadao ya kijamii wakati wa kazi. nyambaf.
 
Bora huyu kuliko wale manesi kwenye hospital zetu unakuta mmepanga foleni mnaumwa haswa halafu wao wako ndani wanapiga stori za matukio ya jana
 
Mi nilifikiri hapa bongo tu kumbe haya yapo hata huko na mi maara nyingi hunipata siku ya kununua luku kosa ukimkuta dada na anaongea na simu yake basi kidogo tega shikio lako utayasikia na kuyasikia lakini usimwangalei usoni ndo atazidi na ule ubii show wake na simu yake ya kupaa na siyo ya promishini hiyo
 
Hapo utaambiwa subiri kidogo system inasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…