DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Jima TAMU huitwa MTU MTAMU.
Ukweli nikuwa wewe sio hny, sio bby, sio switi, maana yake nikuwa wewe SIO.
Dharau!
nishamwambia mara nyingi lakini kuwa sipendi lakini akirudia anakwambia kuwa amepitiwa
Mkuu Kitego...., kama she wako, awe mke/dem/mchepuko/friend ama kwa namna yoyote ya ukaribu wenu, ana kuita hivyo "*.WEWE.*". Unangoja nin hapo hupendi kuitwa hivyo??? Na kama hupendi/hutaki kiitwa hivyo, kwanini huchukui hatua yeny kumaanisha kutokukubaliana na jina hilo??? Kama unachukia hali hiyo, na bado ni dhaifu kufanya uamuzi ufaao kwa faida yakoooo, mlaumu Mungu kukuumba mwanaume, na utafute kidume kikuoe ili uone how men decide anapopuuzwa na she.
SINA HURUMA NA MWANAUME ANAYELIA LIA NA TATIZO AMBALO SULUHU YAKE NI YEYE MWENYEWE. Ni kuamua tu kama Mungu alivyoamua, na mambo yanakuwa.
mbona kama umeongea pumba au mgeni na kifaa unachotumia
ukitaka jibu zuri tumia googlehabari wakuu...hivi unapokuwa na mpenzi wako kisha mara kadhaa akawa anakuita "wewe" badala ya jina lako au yale ya mahaba M.F bby hny switi na mengine kibao je hii inakua ni dharau au kuchokana
Je ukiitwa we mwanamke??
Labda kaanza kukuchoka
Umetaka mawazo ya watu mbalimbali basi pokea alafu utayachanganua mwenyewe
Utakaloliona pumba utaliacha na kuchukua unaloliona linafaa
Sasa utajiskiaje pale endapo ukatoa mada yako alafu ukakosa wachangiaji?
Maana wengine wataogopa ata kutoa ushauri wao kwako
Take care!