ARV anti- retrovirals
Retroviruses ni kundi la viruses ambao moja wapo ni HIV.
Anti - retrovirals ni dawa zilizotengenezwa kupambana na hao viruses
Mtu anapokuwa exposed na HIV, awe amebakwa, amejiprick, au amejamiana na mtu mwenye virusi.
Mapema zaidi kabla hayajapita masaa 72, anapewa ARV, ambazo zitaua virusi kabla havijaweka makazi kwenye mwili.
Hii haina ya tiba ndio inaitwa Post exposure prophlaxis(PEP).
Dawa hizi atatumia ndani ya mwezi mzima. Baada ya hapo atapima.
Kwa scenario ya rafiki yako inaoneka ana pata tiba ya PEP.
Kwa lugha ya ilizoeleka anatumia PEP.