Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
Za mida hii wanajf.nisaidieni kimawazo...nilibarikiwa kuwa na mtoto niliezaa na mzaz mwenzang,mtoto akiwa na miez miwil akanibwagia mtoto na kwenda kuolewa.nililea mwenyewe mpaka mtoto kafika umri mkubwa.cha ajbu mzaz huyo anadai mtoto,wakat hajui gharama yoyote ya hyo mtt.kwan tangu aondoke miaka4 iliyopita hakuwah kuulizia mtoto,kaibuka hv leo.nimfanyeje huyu mzazi maana imeleta ugomv mkubwa