Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,148
- 1,436
Haya Mshukuru mama kwa kukuletea chakula mezani, mi5 tenaNi ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
maharage bora ni yalio ungwa nazi au mawese pamoja na viungo kama vitunguu na nyanya.Kwani maharage hupaswa kuchemshwa na nini mkuu?
Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
Yuko tihalaheiKWA KIFUPI UYU JAMAA NI MWALIMU WA KUJITOLEA
Shida jamii forum kwakuwa hatuwezi onana show off zinakuwa nyingi sana mtu anayeponda mwezie sembuse bado yupo kalala sebureni kwa shemeji kwenye kochi anasubili chai ya burePiga ya kwako na wewe tukushauri utafute hela
Umepigwa...juice ya kiswazi haizidi 300....kipande kimoja mhogo huwa mi 30/-Acha Hizo mkuu wapi huko
Juice 500
Maharage 500
Mihogo 500
Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KWA KIFUPI UYU JAMAA NI MWALIMU WA KUJITOLEA
Ni muhimu sana kupunguza sumu mwilini.ili mtujambie maofisini
tena ni profesa janabiBila shaka wewe ni mtumishi wa serikali.
Sipendi mawese, kabla ya hayo yote ni lazima uyachemshe na maji.maharage bora ni yalio ungwa nazi au mawese pamoja na viungo kama vitunguu na nyanya.
Ubinadamu kazi jamani🤣🤣🤣KWA KIFUPI UYU JAMAA NI MWALIMU WA KUJITOLEA