Hii ni bongo, utawala wa sheria sifuri

Hii ni bongo, utawala wa sheria sifuri

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
askari wa usalama barabarani alimshughulikia konda.
 

Attachments

  • only in our land.jpg
    only in our land.jpg
    34.3 KB · Views: 728
Duh aisee nilishawahi shuhudia Iringa, Trafik anamchapa muuza ulanzi wale wanaobeba kwenye baiskeli. Trafik hana mamlaka hayo
 
Muwe mnawarekodi kwa hizo simu zenu cha Kichina na mnampelekea jamaa deal kwa kuwashtaki hao jamaa na faini mnagawana wote nusu kwa nusu. Hizo ni pesa bana.....
 
Huo ni udhalilishaji wa hali ya juu. Hajui kuwa huyo naye anaitwa baba kama yeye.
 
Inaonekana konda alitania katika kutoa mshiko
 
Kumpiga sidhani kama yupo sahihi

anatakiwa kutimiza utaratibu wa ajira yake.

Naona itabidi tubomoe vituo vyote vya trafic, maana adhabu ni makofi barabarani
 
Hawa jamaa ni mawili tu : Sheria mfukoni na isipokua hivo inakua sheria mkononi
 
Back
Top Bottom