Hii ni bar ya aina yake...

Naona wamewarahisishia kazi na usumbufu wateja wao..wako vizuri
 
Na upande wetu je?
Afu mkojo ndo unarudi bombani?
 
Dah, kwa sisi team Sayona itabidi mfanye design nyingine
 
Muhudumu hesabu zake zinakuwa kwa glass au chupa? Na mkojo unapotelea wapi?
 
hii itakua ujerumani tu
 
Safi sana hii hapo hakuna haja ya kwenda chooni,unapombeka mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…