Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
Nimeshindwa kuelewa hapa:
au unamaanisha unawakuta hapo mamanzi wako na MP. JUMA KAPUYA?
Nimeshindwa kuelewa hapa:
au unamaanisha unawakuta hapo mamanzi wako na MP. JUMA KAPUYA?
mmmh! majanga mbona haueleweki!
Unahitajika uchague mmoja na usubiri mpaka ndoa itakapowaunganisha,
Nimepunguza ukali wa maneno ili lugha isiwe na ukakasi, au siku hizi mnapenda makavu ''live''. ''Wachezaji wa simba kutamba'' ni mwanamke kuwa kwenye hedhi. UMENIELEWA?