Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
- Thread starter
-
- #21
Acha kufikiri ndani ya box!Nani hapa anapata hasara?Mimi mwenye azam niingie gharama nyingine kununua ving'amuzi vingine?Kwanini waliacha vioperate kwa kipindi chote hicho?Makosa yako kwa nani?Wao TCRA au sisi watumiaji?Kuwa mkweli na mfuatiliaji unafahamu hizo local channels ziliingia kwa mfano DSTV kinyemela...unajua kabla DSTV haikuwahi kuwa na local channels...we kama unataka kuangalia local channels TCRA wameshakuelekeza kupitia matangazo yao kwamba ununue king'amuzi stahiki...sasa sijui lengo lako hapa ni lipi...
TBC ni MUST CARRY channel na mataifa mengi duniani yanafanya hivyo...usipoweka Televisheni ya taifa kuwa must carry vipi soko huria likiamua kutoiweka na hii ndiyo taifa linaweza kuhabarishwa kuhusu lolote kwa haraka eg State of emergency...
Hebu tusiwe watu wa kulaumu,tujifunze kufuatilia maelekezo na kuelewa TCRA wameshakuelekeza local channels utazipata TING,CONTINENTAL,DIGITEK au STAR TIMES...na wala usitegemee zitakuja kurudishwa huko ZUKU,DSTV na AZAM.
Jifunze kuelewa maelekezo kabla ya KULAUMU na KUSHUTUMU.
N'yadikwa
Acha kufikiri ndani ya box!Nani hapa anapata hasara?Mimi mwenye azam niingie gharama nyingine kununua ving'amuzi vingine?Kwanini waliacha vioperate kwa kipindi chote hicho?Makosa yako kwa nani?Wao TCRA au sisi watumiaji?
Tuliambiwa tuandike taarifa zetu turudishiwe hela,mpaka leo yako wapi????
Nani karudishiwa?
Za kuambiwa changanya na zako!
Ndio hapo nakushangaa unaposhindwa kutambua makosa ya TCRA!Hivi wenyewe si ndio wenye mamlaka ya mawasiliano nchini?Hao hawakuwa na leseni ya kuoperate FTA,why waliwaacha muda wote huo?Kwanini hawakutoa amri toka mwanzo kuwa channel hizo ziondolewe?Kilichotokea TCRA walizembea na sisi wananchi tukaingia mkenge kwa kuona tukinunua ving'amuzi hivyo basi hata channel hizo zitakuwepo!Muda wote wanaooperate TCRA iliwaacha sababu walikataa agizo la kuziondoa na kukimbilia mahakamani...walishaambiwa na hata leseni zao hao watatu haziruhusu kubeba FTA walilazimisha ili kupata business case kisha wakaifumba mdomo TCRA...mwenye haki na leseni ya kuzibeba FTA ni TING,CONTINENTAL DIGITEK na STAR ambao hata leseni zao ni expensive almost 1 billion tzs wakati leseni ya hao kina DSTV na wenzake ipo chini ya hata milioni 600 sasa hao kina DSTV kubeba FTA Walikuwa wanaingilia leseni na soko lisilokuwa lao (unfair trade and competition ) ambalo ni haki ya wenzao wenye leseni kubwa....STAR MEDIA kwa mfano Ana leseni inayompa haki zote kulipisha na Kuonyesha FTA......Makosa ya msingi hapo yapo na hao akina DSTV AZAM na ZUKU ambao waliwaaminisha wateja kwamba FTA ni haki yao ilhali wakijua Sio kweli bali wanaiba.....tujifunze kukosoa kwa mantiki.....Haya yote yalitolewa ufafanuzi mzuri....na ni kweli tunaumia sie watazamaji lakini makosa ni kiburi cha hao watatu....
Nimeshakueleza hao operators watatu walikaidi kisha kukimbilia mahakamani...do you know kesi ikiwa mahakamani huwezi kutake action against unaemshtaki unless kwa special cases,hilo swali lako TCRA walilijibu hivyo nami niliwaelewa vizuri ,Sasa siwezi kukulazimisha uelewe nilivyoelewa mimi...ila niliwaelewa TCRA kwa ufafanuzi wao mujarabu na kwamba they're doing all this for the sake of FTA na common mwananchi...na hata walipoitisha malalamiko it means they care kuhusu wateja waliolipishwa isivyo kutoka kwa hao operators watatu,even though hawajaweka hadharani uamuzi wao baada ya kupokea malalamiko hadi September 24 iliyopita...Ndio hapo nakushangaa unaposhindwa kutambua makosa ya TCRA!Hivi wenyewe si ndio wenye mamlaka ya mawasiliano nchini?Hao hawakuwa na leseni ya kuoperate FTA,why waliwaacha muda wote huo?Kwanini hawakutoa amri toka mwanzo kuwa channel hizo ziondolewe?Kilichotokea TCRA walizembea na sisi wananchi tukaingia mkenge kwa kuona tukinunua ving'amuzi hivyo basi hata channel hizo zitakuwepo!
Halafu uone ubovu wao,hata huko Ting na waliolipia leseni halali,channel hizi sio bure!Mpaka uweke kifurushi ndio uweze kuziona!
Kesi imeshatolewa hukumu au bado?Kama bado(nijuavyo mimi) kwanini channel hizo zimeondolewa sasa?Si kesi iko mahakamani na huwezi chukua hatua?Nimeshakueleza hao operators watatu walikaidi kisha kukimbilia mahakamani...do you know kesi ikiwa mahakamani huwezi kutake action against unaemshtaki unless kwa special cases,hilo swali lako TCRA walilijibu hivyo nami niliwaelewa vizuri ,Sasa siwezi kukulazimisha uelewe nilivyoelewa mimi...ila niliwaelewa TCRA kwa ufafanuzi wao mujarabu na kwamba they're doing all this for the sake of FTA na common mwananchi...na hata walipoitisha malalamiko it means they care kuhusu wateja waliolipishwa isivyo kutoka kwa hao operators watatu,even though hawajaweka hadharani uamuzi wao baada ya kupokea malalamiko hadi September 24 iliyopita...
Pale juu nimekueleza isipokuwa kwa 'special cases' rudi ukapasome tena. Kesi bado ipo.Kesi imeshatolewa hukumu au bado?Kama bado(nijuavyo mimi) kwanini channel hizo zimeondolewa sasa?Si kesi iko mahakamani na huwezi chukua hatua?
Ni akili zenye matope...! Nimejibu kwa kuzingatia heading....no offense [emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1549][emoji1549][emoji2][emoji2]Kwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu TCRA wameona watusaidie,sasa zimeondolewa na gharama tunalipa ile ile!
Huu ni mpango wa kutulazimisha kuangalia TBC?
Sasa hapo hueleweki,"special case"!!!!!!?Yaani mwanzo hawakuweza kuchukua hatua ya kuziondoa kwasababu kesi iko mahakamani,kesi bado haijaisha wameziondoa!Pale juu nimekueleza isipokuwa kwa 'special cases' rudi ukapasome tena. Kesi bado ipo.
Proverbs 17:16Sasa hapo hueleweki,"special case"!!!!!!?Yaani mwanzo hawakuweza kuchukua hatua ya kuziondoa kwasababu kesi iko mahakamani,kesi bado haijaisha wameziondoa!
Mwanzo haikuwa special case,sasa imekuwa special case!