Teknolojia ya protection ya hizo gari ni ya kitambo. Na watumiaji wa hizo gari hawataki kuzijua na matokeo yake wanajisahahu kuwa usalama uliopo kwenye RR upo juu sana kulinganisha na hizo subaru.. na utaona ujinga wao kuna nyakati wanataka kuvimbiana na wenye hizo gari wawapo roadSasa kwanini haya magari wanayapa uwezo huo ? Yaani 180kph au zaidi. Kuna tatizo zaidi ya speed.
Hizi Subaru pia wanaziongezea nguvu na kuondoa speed limit ya kiwandani.Teknolojia ya protection ya hizo gari ni ya kitambo. Na watumiaji wa hizo gari hawataki kuzijua na matokeo yake wanajisahahu kuwa usalama uliopo kwenye RR upo juu sana kulinganisha na hizo subaru.. na utaona ujinga wao kuna nyakati wanataka kuvimbiana na wenye hizo gari wawapo road
Inatoka na mafundi wengi wa mechanics kufanya mambo kienyeji , pasipo kutoa ushauri wa kitaalamu na athari ambazo sinaweza jitokeza pindi unapo fanya advancement ya hizo machine kinyume na uwezo harisi wa chombo husika . Kama wamiliki wangekuwa wanapata ushauri wa kitaalamu kuna asilimia flani ya kupunguza haya majangaHizi Subaru pia wanaziongezea nguvu na kuondoa speed limit ya kiwandani.
Jiulize ziko ngapi? Na wanaozimiliki ni watu wana namna gani?Nionyeshe ajari ya hii machine ambayo imeua kingese kama mjap anavyo nyonga nyonga 😃😃😃😃
View attachment 1582419
Ni watu kama wewe wanao zimiliki. Kwa idadi sijui ziko ngapi ila zipoJiulize ziko ngapi? Na wanaozimiliki ni watu wana namna gani?
Naongelea personality. Hawana tabia za kitoto za kushindana bila sababu za msingi. Ni watu wenye fedha zao ambao mawazo ya kukimbia ovyo hawanaNi watu kama wewe wanao zimiliki. Kwa idadi sijui ziko ngapi ila zipo
Wanaoendesha hizi gari hawamalizi kisahani.Nionyeshe ajari ya hii machine ambayo imeua kingese kama mjap anavyo nyonga nyonga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 1582419
Yeah, kuna mahali alikuwa anawahi, sasa hivi anaendelea na mengineNadhani hatorudia tena kukumbiza gari baada ya hiyo ajali.
I guarantee you that.
RIP nigga.
Hahaha sawa mkuu nitatumaNitumie sanduku la posta.. nikutumie mzigo [emoji2][emoji2]