Kuna nini kilichojificha kwenye upigaji wa hizi picha, naona mara nyingi vijana wakipiga picha wamesimama mbele ya magari yao, muda si mrefu utasikia amepata ajali mbaya sana na gari husika halitamaniki.Tahadhari:
Mwendokasi unaua
Mwendokasi unafisha ndoto nyingi
Mwendokasi unaleta majonzi
Mwendokasi unahujumu uchumi
Tazama video na picha
Video
View attachment 1564447
Yaani hawana tofauti kabisa wanajiona wao ndio wenye magari peke yaoKama wa Alteza tu
Naomba hayo maembe [emoji847]Wanajionaga kama Enzo [emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu shambani ππNaomba hayo maembe [emoji847]
Naweza pataje hiyo scrapper nikauze??
Tahadhari:
Mwendokasi unaua
Mwendokasi unafisha ndoto nyingi
Mwendokasi unaleta majonzi
Mwendokasi unahujumu uchumi
Tazama video na picha
Video
View attachment 1564447
Bwana naomba nitumie kwani yameshaivaKaribu shambani [emoji2][emoji2]
Nitumie sanduku la posta.. nikutumie mzigo ππBwana naomba nitumie kwani yameshaiva
Kuna yule wa Dar na crown lake jeusiKuna nini kilichojificha kwenye upigaji wa hizi picha, naona mara nyingi vijana wakipiga picha wamesimama mbele ya magari yao, muda si mrefu utasikia amepata ajali mbaya sana na gari husika halitamaniki.
Nimempoteza mdogo wangu kwa style kama hiyo.
All in all over speeding killsChanzo ni kitu gani? Tairi ili bust ama kutoka na ku loose control? Alikuwa anakwepa kitu/mtu ikapinduka ama kitu gani?
Watu wanapiga 180 na hawapati ajali, kwaio huenda labda kuna hitilafu imetokea na kusababisha hio kitu.
Waendesha subaru sijui wanajikutaga nani
Wanasemaga ipo stable,,,Toyota nyepesi na blaah blaah πππ limewakuta jambo, ajali haina cha bmw,toyota, subaru ndio maana ikasemwa haina kinga
Haya ni maneno ya kujipa moyo tu. Kwenye usalama na handling high speed and corners mzungu ni mzungu na Toyota is just a Toyota.Wanasemaga ipo stable,,,Toyota nyepesi na blaah blaah πππ limewakuta jambo, ajali haina cha bmw,toyota, subaru ndio maana ikasemwa haina kinga
Sasa kwanini haya magari wanayapa uwezo huo ? Yaani 180kph au zaidi. Kuna tatizo zaidi ya speed.All in all over speeding kills
Madereva wa hizo machine ni maridadiNionyeshe ajari ya hii machine ambayo imeua kingese kama mjap anavyo nyonga nyonga ππππ
View attachment 1582419
Kabla ya kukimbiza gari na ma speed zaidi ya 170.. angalia kwanza uwezo wa ki usalama wa gari husika katika kuhakikisha abilia wapo au abiria yupo salama ( ndio maana kuna testing aina mbali kabla ya gari kuingizwa sokoni ) ikiwamo na techonology ya hali ya juu katika kumlinda abilia awamo ndani ya gari inapotokea gari ime crush, imepamiwa , imejitupa n.k.. hawa vijana wao wanachomoka tu gari enyewe ina airbug 2 sijui 4 .. kwanini usipate unachotaka πππMadereva wa hizo machine ni maridadi